Lebanese

Kikawaida mimi nikiamuaga kula vyakula vya nje, huwaga napenda kujaribu  vyakula kutoka nchi mbalimbali ili kuona ni jinsi gani mapishi yao yako tofauti na yakwetu, na ikitokea nimekipenda chakula chao huwaga natafuta recipe zake na kujaribu kupika mwenyewe nyumbani.

Basi kama uonavyo kwenye picha, kuna wings, ambazo zimemarinatiwa vizuri kisha zikachomwa (grill wings, chips na salad. Hizo wings zao ni tamu kwelikweli.