Mahitaji
·
Mandazi (angalia jinsi ya kupika
katika recipe ya mandazi ya nyuma)
·
Uyoga (mashroom kikombe 1 cha chai)
·
Mayai (eggs 4)
·
Hoho (greenpepper 1/4 ya hoho)
·
Nyanya (fresh tomato 1)
·
Kitunguu (onion 1/4 ya kitunguu)
·
Chumvi (salt)
·
Mafuta (vegetable oil)
·
Hiliki nzima (cardamon 4)
·
Masala ya chai (tea masala 1 kijiko
cha chai)
·
Pilipili mtama iliyosagwa (ground
black pepper 1/4 ya kijiko cha chai)
·
Maziwa (fresh milk 1 kikombe cha
chai)
·
Majani ya chai (tea leaves)
·
Maji kiasi.
·
Sukari (sugar)
Matayarisho
Jinsi
ya kupika chai, weka maziwa, maji kiasi,hiliki, masala ya chai, pilipili mtama
na majani katika sufuria. Chemsha kwa muda wa dakika 10 na chai itakuwa
tayari.
Jinsi
ya kupika mayai, weka mafuta kiasi katika fry pan na utie vitunguu, vikaange
kidogo kisha tia nyanya, chumvi na hoho. Pika kwa muda wa dakika 4 kisha tia
mayai na uyaache yaive mpaka yakauke kisha geuza upande wa pili na uyapike
mpaka ya ive kisha ipua.
Jinsi ya kupika uyoga, weka mafuta
kidogo katika fry pan kisha tia uyoga na chumvi na ukaange mpaka uive katika
moto wa wastani. Ukisha iva breakfast yako itakuwa teyari kwa kuseviwa.
0 Comments
Post a Comment